O OgwaluMapesa JF-Expert Member Joined May 24, 2008 Posts 10,942 Reaction score 437 Sep 3, 2013 #1 Salama wadau...vipi mwenye taarifa nafasi za Sumatra na National Housing zilizotangazwa mwezi wa saba kama wameshaitwa watu kwenye interview.....na TRA nafasi za Internal Investigation Officer kuna lolote jipya?
Salama wadau...vipi mwenye taarifa nafasi za Sumatra na National Housing zilizotangazwa mwezi wa saba kama wameshaitwa watu kwenye interview.....na TRA nafasi za Internal Investigation Officer kuna lolote jipya?
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,808 Sep 3, 2013 #2 NHC walishaitwa na washafanya interview wiki 2 zilizopita. Hizo nyingine sina uhakika nazo