Kama kawaida kwenye Kombe la Dunia huwa nawaletea picha na matukio yanayoendelea ndani ya uwanja na nje ya uwanja bila kusahau mitaani wakati wa Kombe la Dunia kwa wale wahenga wa Jamii F wa jukwaa la Picha wanajua sasa tutaanza kuwa pamoja kama kawa.
Natest mitambo tu huyo pia ni mmoja wa mashabiki nikianza kazi utaelewa au unaweza kupitia uzi wangu wa kombe la Dunia lililopita utaelewa nini namaanisha.
Natest mitambo tu huyo pia ni mmoja wa mashabiki nikianza kazi utaelewa au unaweza kupitia uzi wangu wa kombe la Dunia lililopita utaelewa nini namaanisha.