We funga begi lako kaolewe nae. Hapo utapata majibu ni wako au lahMoyo nataman hata niubadilishe na moyo wa kuku
Ninampenz simuelew jmn Mimi moyo wangu unauma sana....anaweza amka asubuh hata msg ya umeamkaje hamna... Atakaa siku nzima hata cm hamna mpaka Mimi nianze kumsalimia
Nikimuuliza kulikon anadai yupo busy anakazi nyingi
Jmn uko busy hata cm haushiki inamaana hauli? hauend choon
Wapenz jamaa nampenda sana nataman kujitoa kwake lkn najaribu akinipigia tu cm maamuz yanayeyuka
Kwel ananinyanyasa kihisia sana bad enough yeye hajal
Sasa Mimi namfanyaje jaman?Wewe ndio inatakiwa umfanye akuwaze na kukutafuta siyo kulalamika lalamika tu, mapzn ni hisia mfanye ajiskie bila kukutext au kukupgia siku yake haiajwa nzr, mapenzi n ubunifu.. ustake kumlazmisha akupgie wakati hujamkonvisi
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hua unanifurahisha sana ninalo la kutosha mbonaHuna chura bibie
Najitahidi sana ananivunja moyo hanisapot mpaka nakata tamaaMpe vitu vipya atakutaka tu. Tatozo lako ni kuwa mpenzi wako hakumiss. Kuwa mbunifu kwene mahusiano yenu. Atakumiss na atakutafuta kila mara hadi utauona anakusumbua
Jaribu kujua nini anapenda umfanyieS
Sasa Mimi namfanyaje jaman?
Unaishi nae?Na
Najitahidi sana ananivunja moyo hanisapot mpaka nakata tamaa
Hua unanifurahisha sana ninalo la kutosha mbona
No hatujawah kosanaUkiona ivo ww una tatzo.. labda mlikorofshana mayb yy ndo alkua chanzo mkahitilafiana akawa anajarbu kukuomba msamaha ukawa unazngua, aliumia sana alpokua anakutafuta ukawa hurespond ..hujbu txt zake au hupokei cols.. akakata tamaa ya kua na ww, akaamua afanye mishe zake nyngne... baada ya mda umegundua kua kua bado unamwitaj afu na yy kashakutoa akilin..
Kwaio lazma ayo mambo yatokee..
Speaking from my experience!.. uktaka solution ni-inbobo....
Jicho la mwewe
HapanaUnaishi nae?