yustad azizi
Member
- May 28, 2018
- 16
- 3
Bei nimakubaliano kati yngu naww Mteja ukihitaji mda wwote wakat wowote nifate online tutajua tunasaidiana vp ndugu
Napatikana Mbezi beach ila Mteja namfata popote alipo Kwa bei nafuu ambayo huwez kuikuta Kwa Fundi sofa yyte mkuu
Hapana ndgu leather zinatofautiana ubora na inategemea Mteja unataka ynye ubora gn na zina bei na Fundi anakwambia bei hyo kutokana na bei za material kupanda ila ukiongea na Fundi kiujamaa zaid mnasaidiana na sio kukomoanaHawa mafundi bana bei zao sijui huwa wanawaza nini
Unamwambia kurekebisha tu kubadilisha leather anakutajia 500000 sasa si bora uongezeee ununue jipya
Hahaha haya bhn nmekosea kuandka hapo n nko tayar na sio TatarTatar ndo wapi?