Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,433
- 95,936
Malaria Sugu kumkaribisha futari Pdidy, Saint Ivuga, Rev Masanilo nkkwakua ndugu zetu waislam..ni wakarimu na waungwana na wako kwenye kipindi cha mfungo wa Ramadhani
natagemea basi..Dada FAIZA FOXY kumkaribishana FUTARI na DAKU Rev Masanilo....MUADHIRI kumkaribisha PAKA JIMMY
JEYKEY naye kumkaribisha SPEAKER....NYANI NGABU...yeye atakula DAKU tu kwa Lizzy..
ST IVUGA..nitakupangia baadae....
wengine kama mnaijua mialiko ya FUTARI NA DAKU..tuwekeeni Hapa..list inaruhusiwa kuongezwa ,kukosolewa..nasi kupingana nayo..
just a funny
JF...Chit-Chat