Wazo hilo ni zuri sana, Unadhani we ni wa kwanza!! Enzi za mwalimu Hayo yalikuwepo ndiyo maana karibu maeneo yote miradi ilikuwa inakwenda. kwa kuwa sasa ni Capitalism baada ya kuzika Socialism hawawezi kukaa kwa kuwa miradi anikwa juu ya maendeleo ya jamii ni hewa lakini miradi siri ndiyo inayotekelezwa. Refer Bajeti zote Matumizi ya kawaida Vs miradi ya maendeleo na tuhuma za uhujumu "Epa..............." . Staili ya maisha ya sasa ni kifungo cha nje ndugu a.k.a maisha ya uhamishoni