Natamani sana kupata hata mtoto mmoja tu

B MUNGU akutetee ishi maisha mapya ndani ya kristo
 
Now you are talking. Next step ni kuoa mke mwema atokaye kwa MUNGU halafu hao watoto watakuja tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaona kwenye maelezo yako kama uliwahi kwenda hospital kupima mbegu zako kama zina uwezo wa kutungisha mimba au la.

Nadhani ungeacha kujitisha mwenyewe, nenda hospital wakupime, only vipimo ndio vitathibitisha kama una uwezo wa kumpa mwanamke ujauzito au la.

Achana na mambo ya kuhangaika na manungayembe ambayo pengine yenyewe ndio mayai yameshakufa kwa kutoa mimba kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ukikosa ni Pm
 
Mkuu unatabia ya kufanya maamuzi kwa haraka bila kiwango kizuri cha tafakuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soo sad out of desperation ukaamua kuokoka? Why usifuatilie vipimo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana kumbe na wewe una hili tatizo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kha!! Yaani yeyote anayechangia uzi au akitoa ushauri tiyari tunamuona kuwa analo tatizo?? Ni ushauri wa wahenga tu huo ila sijui huenda hata miye nilisaidiwa. Mwenye uhakika na baba mtoto ni mama sio mume. Sawa?? Usijiamini saana ila acha ka nafwasi ka shaka flan hivi
 
Kama uzi wako na haya maneno yako yapo serious nichek inbox ntakupa no yangu tuongee kwa uzuri, siwez kuandika humu vitu flani vitakufaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…