Nahisi Kwaresma Hii Watu Wengi Wako Mateson Kinapenzi!pole Sana Yawezekana Kapata Kimwana Mpya!ndo Wanaume Mdogo Wangu.usione Mtu Analia Cku Ya Harusi,milima Na Mabonde Kibaaao!zidi Kumuomba Mungu Wako Ujue Ukweli Then Uchukue Uamuzi Mgumu!
Tatizo nampenda, pia naweza kuvunja then nikakutana na balaa zaidi ya huyo
Habari zenu, naamini mko wazima...niko kwenye mahusiano nae kwa muda wa miaka minne, tunapendana sana na hajawahi onesha kunivunjia heshima hata siku moja, isipokua migogoro midogomidogo ya kawaida. katikati ya mwaka jana albadlika, kila nikimpgia simu eti yuko busy. Mimi niko Dar yeye yuko nje ya mkoa kikazi, nahisi kuchoshwa na hili na natamani kuvunja haya mahusiano lakini bado nampenda. Cjui nifanyeje
mmh! my heart tells me dat he z the one