Muone Dr. bingwa wa watoto.Nina umri wa miaka 30 ,nimezaa Mara mbili ila Nina MTOTO mmoja wa miaka 10 . mwingine amefariki ,tatizo nililonalo ni kutopata ujauzito ,napata hedhi kwa mzunguko wa kawaida ila naweza nikaingia siku mmoja tu kwa mwezi ,halafu naanza kuona dalili za ujauzito kama kuvimba maziwa ,moyo kwenda mbio lakin nikipima sion mimba ,nishaenda Hosp nikaambiwa labda ni homon wakanipa dawa za baada ya mda nikapata mimba ,siku niliyogundua Nina mimba usiku wake tumbo likauma saana kufika asubuh damu ikaanza kutoka nikaenda hosp wakasema ninywe amoxln nijanywa tumbo likapoa Larkin cha kushangaza baadae nilipopima mimba ikawa negative ,Dr nishaur nifanyeje Nina hamu ya mtoto
Muone Dr. bingwa wa watoto.
Muone Dr. bingwa wa watoto.
Mkuu amwone dr wa watoto au dr wakina mama?Muone Dr. bingwa wa watoto.
Regency hospital kuna mama wa kihindi ni dr Mzuri pia TMJ kuna ka dada ka doctor kazuri,hembu jaribu.Yup ndugu yangu na nitampata wap
Pole Miss Nuru.
Muhimu kumuuona daktari wakina mama na wafanye vipimo vyote kuangalia ni tatizo gani linasababisha upoteze mimba.
Wakigundua tatizo kuna uwezo wa kuzuia kupoteza mimba kwa kutumia hormones na uangalifu wa karibu sana wa daktari.
Gharama inaweza kuwa kubwa lakini kama unamtaka mtoto basi sidhani kama gharama itakuzuia.
Kila la kheri mwenyezi Mungu atakubariki.
Regency hospital kuna mama wa kihindi ni dr Mzuri pia TMJ kuna ka dada ka doctor kazuri,hembu jaribu.
Nina umri wa miaka 30, nimezaa mara mbili ila, Nina mtoto mmoja wa miaka 10. Mwingine amefariki, tatizo nililonalo ni kutopata ujauzito, napata hedhi kwa mzunguko wa kawaida ila naweza nikaingia siku mmoja tu kwa mwezi halafu naanza kuona dalili za ujauzito kama kuvimba maziwa, moyo kwenda mbio lakini nikipima sioni mimba.
Nishaenda Hospitali nikaambiwa labda ni homon wakanipa dawa za baada ya muda nikapata mimba, siku niliyogundua nina mimba usiku wake tumbo likauma sana kufika asubuhi damu ikaanza kutoka nikaenda hospitali, wakasema ninywe amoxln nikanywa tumbo likapoa Lakini cha kushangaza baadae nilipopima mimba ikawa negative.
Dr nishauri nifanyeje, nina hamu ya mtoto.
Pia mwenge kwa mama Ngoma hospital kuna Dr kutoka china mtaalamu wa magonjwa ya wanawake
Uko wapi?tuwasiliane kama nikijua mahali ulipo itakuwa rahisi kukusaidia