Mkuu pale Msimvazi centre kuna kambi ya wazee mbona hawaoi kama age is just a number mkono mtupu haulambwi
Bado 22 mkuu!!
Umebakisha miaka mingapi ufike iyo 55...??
Na katulia tulii kama maji ya mtungiMiss Tanzania gani angekubali kuolewa na over 70 masikini?
Bado 22 mkuu!!
Figo yangu mm simuuzii kapuku mwenzangu!
Duuh,,, Kama ndani ya miaka 33 umeshindwa kuupata utajiri., Je miaka 22 ukitoa miaka 8 ya mikazo ya Magu, 14 itatosha kweli..?? Mkuu shng ngapi unauza hiyo figo., Angalau hta niwe nazo tatu, Nikiulizwa niseme baba mi nna tatu at least...!!
Figo yangu mm simuuzii kapuku mwenzangu!
Nasubr world billionaire afeli figo then niuze fasta!
Billion 100 natoa figo fasta bila hata kuomba ushaur kwa mkewangu!
Labda ww uwe dalali ukisikia billionaire ana suffer figo nitonye fasta mkuu!
Mkuu wewe hata usiangaike Ku convert to dollars!
Hhahahh...!!! Jf kichaka Mkuu.,, Huwezi jua. Kwan izo billion 100 ni shng / dollar.??
Kwa jinsi Hali ya maisha ilivyo ngumu kwa kweli natamani ningekuwa Mzee tu maana ujana unachangamoto nyingi Sana na zimenielemea kwelikweli
daaah nimestuka nilijua utaza tigo.Hahaha et shkamo pesa, maana hapo anakula!!
Ndo maana huwa nasema kama nitafkisha miaka 55 bado sina pesa,
Nauza hata figo!!
Karibu uzeeni aiseeeee.....Kwa jinsi Hali ya maisha ilivyo ngumu kwa kweli natamani ningekuwa Mzee tu maana ujana unachangamoto nyingi Sana na zimenielemea kwelikweli
Sahaman mkuu Mzee Machache unamaanisha LE mtuuzzi....oh Nimkumbka basi ni yule wa PIPIIKama una pesa sawa kama huna zitafute uzee bila pesa ni jehanamu ya duniani. Mwangalie mzee Machache avyoenjoy uzee wake