Haha! hii thread naona imefika mbali, mi nlibishana na deejay nikagive-up mapema sana baada ya kuona hatutafika popote...
Sasa wengine wamekuja na mapya humu mara stopwatch computer.. hahaha!! quite interesting
Anzisha thread mpya. kuvamia hii iliyopo hakutakusaidia!Wadau mm ni mdau wa I.T, nahitaji kujiajiri kwa kianzio 20mil.niko arusha, ninacho omba kwenu ni ushauri, nina wazo la kwenda kutafuta maisha dsm au nibaki arusha, ila cjajua ni wapi naweza kutoka kimaisha.na kama ni dsm cjajua nuka settle mtaa gan, pia kama kuna wazo lingine naombeni wadau.
Haha! hii thread naona imefika mbali, mi nlibishana na deejay nikagive-up mapema sana baada ya kuona hatutafika popote...
Sasa wengine wamekuja na mapya humu mara stopwatch computer.. hahaha!! quite interesting
Whats even funnier kuna WannaBes humu ambao honestly wanajua tu kua kuna kitu kinaitwa programming ila ni wabishi, tufanye hackathon moja basi tufanye projects za maana sio kupigizana kelele zisizo na msingi hadi tunaanza kudanganyana sasa...
Course Objectives
Chuo kinachoheshimika Afrika ambacho nimesoma hadi masters wanafundisha Algorithm before programming languages
Ivi mkuu assume you were a lecture on a certain famous University where Algorithm is tought before Programming Language n one of your Masters student post question like this --> https://www.jamiiforums.com/tech-ga...kuhusu-floating-top-menu-using-css-xhtml.html
how would you going to feel ?
Naona anaulizia lile swali mashuhuri la Lugha nyepesi ya kuanzia kupiga code. Sema tatizo hapa hata kiswahili cha kuombea msaada kinampiga chenga sasa mascript ya code yatapanda kweli ?
Hebu njoo na maelezo yaliyoshiba kidogo tujue pa kuanzia kukusaidia.
Ivi mkuu assume you were a lecture on a certain famous University where Algorithm is tought before Programming Language n one of your Masters student post question like this --> https://www.jamiiforums.com/tech-ga...kuhusu-floating-top-menu-using-css-xhtml.html
how would you going to feel ?
No! They are notOut of curiosity are CSS and XHTML programming languages?
Fish in the netI am busy doing cool stuf, hacking with my android device. Thax 2 shell scripting, c and c++
Ivi mkuu assume you were a lecture on a certain famous University where Algorithm is tought before Programming Language n one of your Masters student post question like this --> https://www.jamiiforums.com/tech-ga...kuhusu-floating-top-menu-using-css-xhtml.html
how would you going to feel ?
Out of curiosity are CSS and XHTML programming languages?
No! They are not
I would feel very proud of my student, Sababu ana uwezo wa kutafuta another opinon. MFICHA UCHI HAZAI
Ndio maana software development huwa inafanywa kama team work, sio kama haiwezekani mtu mmoja ku develop software. And for the record did ur famous university teach you that CSS/XHTML are programming languages??
SO I WILL STILL BE PROUD OF MY STUDENT, GOOD TEAM WORK
I am busy doing cool stuf, hacking with my android device. Thax 2 shell scripting, c and c++
I guess you were 5yrs "2012" as you've sayed earlier now you're 8 years n doing such shitty of redirecting Noob tools to Hallburton website..