Habari..i'm a single tanzanian lady and i really wish to adopt mtoto wa kike wa hapa.najiweza kiuchumi ila nipo single.kuna mtu anayejua kuhusu process ya kuadopt??naishi bongo and i dont plan to move.
Its urgent..tnx
Habari..i'm a single tanzanian lady and i really wish to adopt mtoto wa kike wa hapa.najiweza kiuchumi ila nipo single.kuna mtu anayejua kuhusu process ya kuadopt??naishi bongo and i dont plan to move.Its urgent..tnx
You better take one of your relatives than adopting a child. Are you not african? Besides you are still young why can't you look someone you can have a child with. Mtoto ulomzaa mwenyewe ana thamani kubwa na kuna raha ya kipekee labda kama una tatizo la uzazi.