mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,439
- 2,918
ANDAA NA PESA..SIKU HIZI WAMEBADILIKAIle Sanaa ya kutongoza LIVE kwasasa inaonekana imepitwa na wakati. Kwasababu ya kuwepo Kwa mawasiliano.
Yaani mtu anamwita demu, anaomba namba kisha akipewa anaanza kutongoza Kwa msg..... Ok sio mbaya
Ila nimeanza zoezi la kutongoza bila kuomba namba , yaani unamkazia demu, unamlilia , unampa maneno matamu mpaka mwenyewe anakwambia SAWA KAKA NIMEKUBALI, VIP lakini huna mke?
Ujue hapo ameshakwisha.
Mwisho wa siku yeye ndiye anaomba namba yako sasa.
K....Maaaaa kibuyu.
SEMA NINI
Kutongoza live bwana kuna VIBE lake, ila hakilosha boxer ulovaa ime tight vizuri kbs. Maana mtu unamuimbisha mpaka anajikuta anabana miguu, kuondoka anashindwa.
M.... Make.
Kabisa mkuuMadhara ya kutongoza kwa simu ni kupoteza confidence kabisa.
Unakuta unatype maneno ambayo ukiwa live huwezi kuyatamka.
Ukikubaliwa siku ya kwenda kuonana unaona aibu.
Kongole kwa mabaharia waliokuwa wanatongoza live tena china ya mti hadi manzi anabaki kung'ata kucha na kuangalia pembeni..
Hahaha @Kisange umenichekeshaKama huna pesa utaitiwa mwizi tu mkuu.bora upumzike
Kuna kijana alikuwa anamtongoza Sana mamito kila akipita anayumbisha sasa siku moja hamadiiii mm huyu hapaIle Sanaa ya kutongoza LIVE kwasasa inaonekana imepitwa na wakati. Kwasababu ya kuwepo Kwa mawasiliano.
Yaani mtu anamwita demu, anaomba namba kisha akipewa anaanza kutongoza Kwa msg..... Ok sio mbaya
Ila nimeanza zoezi la kutongoza bila kuomba namba , yaani unamkazia demu, unamlilia , unampa maneno matamu mpaka mwenyewe anakwambia SAWA KAKA NIMEKUBALI, VIP lakini huna mke?
Ujue hapo ameshakwisha.
Mwisho wa siku yeye ndiye anaomba namba yako sasa.
K....Maaaaa kibuyu.
SEMA NINI
Kutongoza live bwana kuna VIBE lake, ila hakilosha boxer ulovaa ime tight vizuri kbs. Maana mtu unamuimbisha mpaka anajikuta anabana miguu, kuondoka anashindwa.
M.... Make.
Kuna kijana alikuwa anamtongoza Sana mamito kila akipita anayumbisha sasa siku moja hamadiiii mm huyu hapa
Nikamwambia unataka kuhama mji akajibu hapa.
Nikamwambia mke wa mtu sumu nikasepa
Jamaa akawa hakomi akawa anaendelea tu siku akajaa Tena nikatia kamba vijana wangu wawili tukachukua KY hakufanywa kitu kibaya Ila alipakwa mafuta vizur tu na tupicha kadhaaa tukamwambia nenda
Mpaka leo hii hayupo mtaani inasemekana Yuko kanda ya ziwa hatak kurudi mjini daaadek zakeee
Alitaka jifunza tongoza kwa mamito
May be.Mkeo alishindwa kumuondosha?
Au she was enjoying the attention?
Ile Sanaa ya kutongoza LIVE kwasasa inaonekana imepitwa na wakati. Kwasababu ya kuwepo Kwa mawasiliano.