Nataka Simu aina ya Tecno

Nkuba25

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2015
Posts
2,374
Reaction score
13,097
Wadau

Kama kuna mtu anauza simu aina ya Tecno C 8 au C 9 au toleo lolote zuri naomba tuwasiliane PM. Simu iwe katika hali nzuri (isiwe imechoka).

Mimi niko Dar

Asanteni.
 
Mbona inapatikana madukani C9 laki3 na elf40
 
Njoo mie nakuuzia lakini tatu na ishirini.tecnoc9.nipigie.0622413039
 
Mangi nna c9 hapa ina wiki 3 nipe 280 tu nakupa na risiti Yake box Lake earphone zake na milip yote nakupa mpaka missed call zake.... Kama upo interested nicheck inbox chap....
 
Mkuu

Nimekucheck PM.
 
Wadau

Kama kuna mtu anauza simu aina ya Tecno C 8 au C 9 au toleo lolote zuri naomba tuwasiliane PM. Simu iwe katika hali nzuri (isiwe imechoka).

Mimi niko Dar

Asanteni.
Mim ninayo TECNO P 5 mkuu kama wahitaji na yenyew naomba kujua
 
kuna W3lte nipigie 0652002828 bei ni laki moja na hamsin ina mwezi mmoja
 
Wadau

Kama kuna mtu anauza simu aina ya Tecno C 8 au C 9 au toleo lolote zuri naomba tuwasiliane PM. Simu iwe katika hali nzuri (isiwe imechoka).

Mimi niko Dar

Asanteni.
mimi nina Techo C8 iko katika hari nzuri sana bei 200,000 napatikana 06571455555, nipigie tuongee zaidi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…