Hivi punde JF-Expert Member Joined Apr 1, 2017 Posts 2,554 Reaction score 8,627 May 31, 2020 #1 Wakuu mimi nipo Moshi Mjini. Nataka kuanzisha mradi wa mashine ya kusaga na kukoboa. Mashine nzuri ni yenye mortor yenye ukubwa gani ? Na kinu chenye ukubwa gani ? Gharama za kununua zikoje ukijumlisha na ufungaji wake ? Asanteni
Wakuu mimi nipo Moshi Mjini. Nataka kuanzisha mradi wa mashine ya kusaga na kukoboa. Mashine nzuri ni yenye mortor yenye ukubwa gani ? Na kinu chenye ukubwa gani ? Gharama za kununua zikoje ukijumlisha na ufungaji wake ? Asanteni
Job Richard JF-Expert Member Joined Feb 8, 2013 Posts 3,874 Reaction score 2,203 May 31, 2020 #2 Hivi punde said: Wakuu mimi nipo Moshi Mjini. Nataka kuanzisha mradi wa mashine ya kusaga na kukoboa. Mashine nzuri ni yenye mortor yenye ukubwa gani ? Na kinu chenye ukubwa gani ? Gharama za kununua zikoje ukijumlisha na ufungaji wake ? Asanteni Click to expand... Mashine za kusaga na kukoboa tunazitengeneza kuanzia millioni mbili na laki sita unapata mashine yako nina post nyingi zinazoelezea hii biashara Tupo Ubungo external 0762612213
Hivi punde said: Wakuu mimi nipo Moshi Mjini. Nataka kuanzisha mradi wa mashine ya kusaga na kukoboa. Mashine nzuri ni yenye mortor yenye ukubwa gani ? Na kinu chenye ukubwa gani ? Gharama za kununua zikoje ukijumlisha na ufungaji wake ? Asanteni Click to expand... Mashine za kusaga na kukoboa tunazitengeneza kuanzia millioni mbili na laki sita unapata mashine yako nina post nyingi zinazoelezea hii biashara Tupo Ubungo external 0762612213