afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,303
- 2,779
Kwa uongozi wa mtu aliejiapiza kuwa matajiri wataishi kama mashetani, sahau neno kununua hisa za kampuni yoyote ile. Tangu aingie kibaruani soko la hisa ni moja kati ya sekta zilizodolola, vodacom tangu watu wanunue hisa hazijawahi kupanda wa kushuka zipo zipo. So kwa wale walionunua hisa means wamekula hasala maana wameweka mpunga mwingi lakin hakuna return.Salaam wadau, hoja yangu ni kuomva msaada wa ushauri....as of recent situation ya uchumi wa nchi na makampuni ya sector mbalimbali kuyumba yumba...
JE ni muda mzuri kununua hisa au timing sio nzuri...je na kama nataka kununua hisa ni sector gani inafaa kwa sasa au kampunibza aina gani zinafaa kwa sasa angalu kwa sekta zake......
Nimekuwa interested na hisa..japo nimeona jarida moja faida za CRDB zilishuka kwa mwaka 2016 ikimaanisha gawio limekuwa chini....
Kikubwa ni je ni muda inaofaa kunumua hisa au nisubiri kwanza....kama yes sekta gani mnanishauri kununua.....au la je nisubiri kwa kuangalia kitu gani katika uchumi wa nchi au makampuni....
Shukrani in Advance
sikushauri mkuu kuwekeza kwenye hisa, afadhali uweke hata fixed deposit utakua na uhakika wa kupata faida ya pesa yako baada ya muda flanSalaam wadau, hoja yangu ni kuomva msaada wa ushauri....as of recent situation ya uchumi wa nchi na makampuni ya sector mbalimbali kuyumba yumba...
JE ni muda mzuri kununua hisa au timing sio nzuri...je na kama nataka kununua hisa ni sector gani inafaa kwa sasa au kampunibza aina gani zinafaa kwa sasa angalu kwa sekta zake......
Nimekuwa interested na hisa..japo nimeona jarida moja faida za CRDB zilishuka kwa mwaka 2016 ikimaanisha gawio limekuwa chini....
Kikubwa ni je ni muda inaofaa kunumua hisa au nisubiri kwanza....kama yes sekta gani mnanishauri kununua.....au la je nisubiri kwa kuangalia kitu gani katika uchumi wa nchi au makampuni....
Shukrani in Advance
Sikushauri sana ununue hisa kwenye makampuni makubwa unless unapata ushauri kutoka kwa wataalamu wa biashara hizo kama Brother Salum Awadh wa SSC capital yuko vizuri sanaSalaam wadau, hoja yangu ni kuomva msaada wa ushauri....as of recent situation ya uchumi wa nchi na makampuni ya sector mbalimbali kuyumba yumba...
JE ni muda mzuri kununua hisa au timing sio nzuri...je na kama nataka kununua hisa ni sector gani inafaa kwa sasa au kampunibza aina gani zinafaa kwa sasa angalu kwa sekta zake......
Nimekuwa interested na hisa..japo nimeona jarida moja faida za CRDB zilishuka kwa mwaka 2016 ikimaanisha gawio limekuwa chini....
Kikubwa ni je ni muda inaofaa kunumua hisa au nisubiri kwanza....kama yes sekta gani mnanishauri kununua.....au la je nisubiri kwa kuangalia kitu gani katika uchumi wa nchi au makampuni....
Shukrani in Advance
Shares zinalipa kama una kichwa chepesi na mazingira ya kibiashara kua mazuri/rafiki. Ila kwa mtazamo wangu, usiwaze kuinvest katika shares nchini Tanzania.
Present business environment in Tanzania is not stable. At all. Shares zina drop sana kuliko kupanda, na kampuni nyingi zimepunguza annual production.
Itakula kwako vibaya sana. Bora fanya ishu nyingine.
asante sana mkuu..umenipa wide ideas nazidi kupata maarifaSikushauri sana ununue hisa kwenye makampuni makubwa unless unapata ushauri kutoka kwa wataalamu wa biashara hizo kama Brother Salum Awadh wa SSC capital yuko vizuri sana
Next nakushauri uwe investor na sio stockist kwa sababu ukiwa investor una uwanja mpana wa kufanya control ya pesa zako
What to do find a small company startup ambayo unaona growth yake ni nzuri ongea nao elewa biashara yao na ingia nao mkataba wakupe share na pia uingie kwenye management ya hyo kampuni ndogo ili kusimamia pesa zako
Mfano unaweza kwenye kwa muuza chips unamuuliza kuhusu mauzo yake na changamoto zake za biashara na pia ww utaona huyu akiboresha kwenye kiti hiki atapata wateja wengi zaidi na faida itaonekana so unakaa nae chini unaweka pesa zako unaboresha biashara yake na ww unapata faida kutokana na biashara yake kuimarika (kama alikuwa anafunga chips kwa rambo mpe foil [emoji3]) wateja wataongezeka
Goo into agriculture kuna vijana wana utaalamu wa kilimo lakn hawana mtaji unaweza kuwatafuta ukakaa nao unawapa capital mnaingia mkataba wao wanasimamia huku ww ukifanya monitoring na kinachopatikana mnagawana
Na biashara nyingine nyingi ambazo unaweza kuona growth yake na uweke pesa yako
Note: usije ukawekeza kwenye biashara ambayo faida yake ni ndogo sana kwa mfumo huu
Pia unaweza kuwa angel investor , venture capitalist etc
Sent using Jamii Forums mobile app
Good niliwahi waza kuhusu mashirika sa hv mengi yanapunguza watu nk. so i get you shukrani sitakurupuka ila naona situation kweli sioKwa uongozi wa mtu aliejiapiza kuwa matajiri wataishi kama mashetani, sahau neno kununua hisa za kampuni yoyote ile. Tangu aingie kibaruani soko la hisa ni moja kati ya sekta zilizodolola, vodacom tangu watu wanunue hisa hazijawahi kupanda wa kushuka zipo zipo. So kwa wale walionunua hisa means wamekula hasala maana wameweka mpunga mwingi lakin hakuna return.
Nakushauri tafuta business nyingine na si hisa/share. Au kama unabisha kamuulize Masha
NOTED WELL THANK YOUShares zinalipa kama una kichwa chepesi na mazingira ya kibiashara kua mazuri/rafiki. Ila kwa mtazamo wangu, usiwaze kuinvest katika shares nchini Tanzania.
Present business environment in Tanzania is not stable. At all. Shares zina drop sana kuliko kupanda, na kampuni nyingi zimepunguza annual production.
Itakula kwako vibaya sana. Bora fanya ishu nyingine.
NOTED inahitaji uvumilivu pia maana ni long term investmentNilinunua HISA za Vodacom za kama milioni 7 mwaka 2016. Ni mwanzoni mwa Dec ya mwaka huu nilipopata the so called "VODACOM Dividend no.2 payment" ya shilingi 102,073.70/=. So, "uwekezaji" wa kwenye HISA sio wa kukulipa harakaharaka. Unachoweza kufanya ni kusubiri miaka ya kutosha sana, ukiomba bei ya hisa ipande.
Wakati soko ni baya namna ndio muda wa kununua kwa wingi!
Good napokea mawazo yenu wote kisha kufanyia kazi after some time i will decide whats the moveMimi nakubaliana na wewe huu ndio wakati wa INVESTORS wa kweli wa stocks kununua!!! Hao wanaosema usinunue ni speculators ambao wananunua leo na baada ya muda mfupi wanauza ili kupata faida chapu chapu; lakini wale wanaoinvest kwenye stocks na kufaidi faida ni wale wanao wekeza kwa muda mrefu [ Long term investors]!!!
sure nimejifunza pia from wadau