Nimekwenda kuwawakia utawala leo, Wao wenyewe wakashangaa imekuwaje wamebadili umiliki wa line yangu na wengi tu wa ofisini. Nikawaambia waandike *106# kisha wapige watazame namba zao zimesajiliwa kwa jina gani wote wakashangaa pia. Hivyo tiGO wamefanya uhuni, badala ya kuingiza muda wa hewani wao wakabadili umilikaji mzima wa line kwenda kwa Kampuni