Mkumbizi Senior Member Joined Dec 31, 2013 Posts 171 Reaction score 26 Jul 6, 2016 #1 Jameni nataka kusoma Open University nina diploma ya GPA 3.6 vipi inakubali? Pia mwenye kujua utaratibu wa kufanya application nataka kusoma hapo.
Jameni nataka kusoma Open University nina diploma ya GPA 3.6 vipi inakubali? Pia mwenye kujua utaratibu wa kufanya application nataka kusoma hapo.
nkanga chief JF-Expert Member Joined May 31, 2016 Posts 2,084 Reaction score 1,623 Jul 6, 2016 #2 hongera G.P.A yako nzuri nenda kwenye centre za open kapply direct gharama elfu thelasini tu
Mkumbizi Senior Member Joined Dec 31, 2013 Posts 171 Reaction score 26 Jul 6, 2016 Thread starter #3 nkanga chief said: hongera G.P.A yako nzuri nenda kwenye centre za open kapply direct gharama elfu thelasini tu Click to expand... Thanx mkuu kwa taarifa hizo.
nkanga chief said: hongera G.P.A yako nzuri nenda kwenye centre za open kapply direct gharama elfu thelasini tu Click to expand... Thanx mkuu kwa taarifa hizo.
balimar JF-Expert Member Joined Sep 18, 2015 Posts 7,880 Reaction score 13,932 Jul 7, 2016 #5 Safi kozi gani wataka kusoma?
Mkumbizi Senior Member Joined Dec 31, 2013 Posts 171 Reaction score 26 Jul 7, 2016 Thread starter #6 balimar said: Safi kozi gani wataka kusoma? Click to expand... Nataka kupiga HR au Sociology.
K kahuta da king Member Joined Jun 18, 2016 Posts 6 Reaction score 4 Jul 7, 2016 #7 We open unapokelewa vizuri hata ukienda kinondoni B utapata maelekezo
Mkumbizi Senior Member Joined Dec 31, 2013 Posts 171 Reaction score 26 Jul 7, 2016 Thread starter #8 kahuta da king said: We open unapokelewa vizuri hata ukienda kinondoni B utapata maelekezo Click to expand... Sawa ila niko mbali sana na dar,nipo karatu jamaa yangu dar ni mbali sana.
kahuta da king said: We open unapokelewa vizuri hata ukienda kinondoni B utapata maelekezo Click to expand... Sawa ila niko mbali sana na dar,nipo karatu jamaa yangu dar ni mbali sana.
ANTHONY KWEKA JF-Expert Member Joined Mar 26, 2013 Posts 958 Reaction score 380 Jul 7, 2016 #10 kartu kun a taw palee
Rangi ya buti Member Joined Sep 5, 2015 Posts 57 Reaction score 39 Jul 7, 2016 #11 Mkumbizi said: Sawa ila niko mbali sana na dar,nipo karatu jamaa yangu dar ni mbali sana. Click to expand... kam karatu hawana centre wahi njoo arusha centre ipo utapata maelekezo ya kutosha ..
Mkumbizi said: Sawa ila niko mbali sana na dar,nipo karatu jamaa yangu dar ni mbali sana. Click to expand... kam karatu hawana centre wahi njoo arusha centre ipo utapata maelekezo ya kutosha ..
Mkumbizi Senior Member Joined Dec 31, 2013 Posts 171 Reaction score 26 Jul 9, 2016 Thread starter #12 Rangi ya buti said: kam karatu hawana centre wahi njoo arusha centre ipo utapata maelekezo ya kutosha .. Click to expand... Powa
Rangi ya buti said: kam karatu hawana centre wahi njoo arusha centre ipo utapata maelekezo ya kutosha .. Click to expand... Powa
God'sBeliever JF-Expert Member Joined Sep 1, 2015 Posts 5,788 Reaction score 3,062 Jul 9, 2016 #13 nkanga chief said: hongera G.P.A yako nzuri nenda kwenye centre za open kapply direct gharama elfu thelasini tu Click to expand... mkuu kama sio nakosea sory ila najua kuanzia degree, masters na phd unafanya application zote tcu? embu nisahihishe hapo
nkanga chief said: hongera G.P.A yako nzuri nenda kwenye centre za open kapply direct gharama elfu thelasini tu Click to expand... mkuu kama sio nakosea sory ila najua kuanzia degree, masters na phd unafanya application zote tcu? embu nisahihishe hapo