Ni vigumu kupata Sponsorship ya kusoma Ulaya Bachelor. Kwa scholarship zipo kibao ila sponsorship ni kimbembe.
Hata master yenyewe ni shughuli kupata sponsorship. Miaka kadhaa iliyopita nilipokuwa naingia mwaka wa mwisho nikifanya Bachelor ktk moja ya vyuo vyetu Tz wenzangu walizitega scholarship ikawa kila ikitangazwa wanapata notification (email) na wana apply. Waliapply tena na tena mpaka tunamaliza chuo hawakuzipata. Mmoja alipata scholarship kama miaka 3 baada ya kumaliza chuo ila akakosa sponsorship.