master of cities
JF-Expert Member
- Mar 14, 2015
- 429
- 628
2015umemalza mwaka gan mkuu
Ndiyo nataka kurudia...ndoto yangu ni kusoma radiology....sa bila phys napwaya sanaUnataka kurudia somo la fizikia. 😳
Huwa hawaelewi kabsa mkuu yaan unavowashauri wanachukulia poa matokeo yake ndo hayoNawaambiava vijana kila siku kuacha phys ni kukinyonga hawaelewagi
Unaruhusiwa kurudia masomo mkuu