Nataka kuoa hela tu.

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,789
Reaction score
7,182
Kwa kweli nimechoka kuonga ndio nipendwe sasa nimeona nisake jimama la nguvu lenye fedha. Si kila Mara kunapokucha pochi yangu inapukutisha tu. Jimama hilo lisiwe name majivuno. Lianzie miaka 45 na mpaka 55 liwe tayari kupata Huduma kila Mara , lisiwe lilevi la pombe Kali, lisiwe limefiwa na mume maana halichelewi kuanzisha kilio unapokuwa unataabisha machine likikumbuka mmewe wa zamani. Lisitumie mkorogo .
 
Nauliza tena shule zimefungwa tayari??!!!!
 
maumivu ya akili huanza pole ople....
 
kama hutaki kuonga, inakufaa mijibaba wewe!
 
Nipo hapa..... hata mie nilikua nasaka dogo dogo.... hahahaaaaa...
 
vijana wengi siku hizi mnapenda kulelewa

wanaume wachache hao hao Mnenda kuolewa na mama zetu
 
mtoa mada bila shaka utakuwa shabiki wa Cameroon...umejikatia tamaa
 
Reactions: kui
vijana wengi siku hizi mnapenda kulelewa

wanaume wachache hao hao Mnenda kuolewa na mama zetu
Tumechoka na upweke wa kutobembelezwa wakina Dada wengi ili uitwe baby ni lazima mfuko uwe sawa ukikosa anasepa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…