Wakuu naombeni ujuzi , kwa bajeti ya laki 2 ntaweza kupata pete aina gani? Mimi nipo Dar , ukinielekeza na duka itapendeza zaidi.
Sijui kwa gram zinauzwa, au ni vipi
Nenda kwenye duka lolote la sonara,inategemea unataka ya madini gan? Kama ni silver nadhan gram 1 ni kama elfu na kitu hivi ila Gold inarange kuanzia 80 mpka 150 kwa gram 1 so hapo inategemea na ww mteja