Manumbu JF-Expert Member Joined Oct 28, 2009 Posts 1,746 Reaction score 1,283 Mar 16, 2012 #1 wajuzi, nataka kununua samsung galaxy tab 10.1. ukiacha internet, ambayo nnayo ofisini na kwenye simu yangu, hii tab itanisaidiaje kwenye kazi zangu ambazo ni za kuandika zaidi? asanteni
wajuzi, nataka kununua samsung galaxy tab 10.1. ukiacha internet, ambayo nnayo ofisini na kwenye simu yangu, hii tab itanisaidiaje kwenye kazi zangu ambazo ni za kuandika zaidi? asanteni
Kang JF-Expert Member Joined Jun 24, 2008 Posts 5,699 Reaction score 2,610 Mar 16, 2012 #2 Haitakusaidia kwenye kuandika.