Nataka kumsahau kabsa!


Maumivi uliyonayo hayaepukiki mara mnapotengana, na maumivu ya aina hiyo kuisha ni lazima, yataisha wakati gani hii inatofautiana kati ya mtu na mtu, ila cha muhimu jizuie kuwa mpweke, yaani jitahidi kujichanganya na watu na events mbalimbali, halafu focus kupata replacement, unaweza kupata zaidi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…