ama kweli kufa kufaana!achana naye njoo kwangu nikupe faraja moyo wko
::
Chukua kalamu na karatasi ukiwa peke yako..
Andika kila kitu kumhusu yeye na jinsi unavyompenda..
Eleza waziwazi hisia zako usivyoweza kuishi bila yeye..
Ukimaliza choma moto karatasi hizo.
Fanya hivyo kila unapomkumbuka itafika mahali utaweza kutofautisha maisha ya sasa na ya zamani,na utasonga mbele.
=
Habarini wapendwa! Jaman mapenz haya! Mh! Ni story ndefu ila kwa kifup niliachana naye mwshon mwa mwaka jana baada y kuniambia ameoa ilinium sana but kw ujasiri nkamwmbia aendlee na mkewe aniache kwan altak 2endlee na uhusiano,nikatuplia mbal kumbkumb zake na kujpa moyo atlst ilinisaidia kuondoa machungu moyoni.asa toka juzi nimekuw nikimuwaza sana had nataman kumtafta but najizuia kwan haitanisaidia then ctak ajue kuw nammis japo nilitaman sana awe wangu w maish but nd hvy mung hajapanga.sasa nifanyaje ili NIMSAHAU KABSA?pleease help me!

Thenk u tetra i wil try to do so
hata mi nimestuka ujue!hata neno MUNGU siku hizi linaandikwa kisanii eti mung
Jesus Christ...!::Chukua kalamu na karatasi ukiwa peke yako..Andika kila kitu kumhusu yeye na jinsi unavyompenda..Eleza waziwazi hisia zako usivyoweza kuishi bila yeye..Ukimaliza choma moto karatasi hizo.Fanya hivyo kila unapomkumbuka itafika mahali utaweza kutofautisha maisha ya sasa na ya zamani,na utasonga mbele.=