Pambana na Hali YakoNilikua namahusiano na mwanamke ila tulikuja kugombana bila sababu akaanza kunichukia,nilipata tabu sana kile kipindi nikajaribu kuwafuata wana jf wachavhe humu jf wanisaidie hata mawazo ,mmoja akakubali kuniumgajisha na mtu wake yupo huko songea sijui mbinga ,baada ya siku nne akaanza kunitafuta yeye ananilalamikia simtaki, Sasa mapenzi Yamezidi natamani nimkimbie maana hana kazi anasubir nirudi kazini mda wote tuwe wote sex akitaka ni muda huohuo hamna kusubiri daah ,Ssijutii maana nilishindwa move on ila ikizidi inabidi niende hata likizo kwanza nyumbani
Tangazo hili liptia mkuuNilikua namahusiano na mwanamke ila tulikuja kugombana bila sababu akaanza kunichukia,nilipata tabu sana kile kipindi nikajaribu kuwafuata wana jf wachavhe humu jf wanisaidie hata mawazo ,mmoja akakubali kuniumgajisha na mtu wake yupo huko songea sijui mbinga ,baada ya siku nne akaanza kunitafuta yeye ananilalamikia simtaki, Sasa mapenzi Yamezidi natamani nimkimbie maana hana kazi anasubir nirudi kazini mda wote tuwe wote sex akitaka ni muda huohuo hamna kusubiri daah ,Ssijutii maana nilishindwa move on ila ikizidi inabidi niende hata likizo kwanza nyumbani
Ngoja ukue.Na bado.Nilikua namahusiano na mwanamke ila tulikuja kugombana bila sababu akaanza kunichukia,nilipata tabu sana kile kipindi nikajaribu kuwafuata wana jf wachavhe humu jf wanisaidie hata mawazo ,mmoja akakubali kuniumgajisha na mtu wake yupo huko songea sijui mbinga ,baada ya siku nne akaanza kunitafuta yeye ananilalamikia simtaki, Sasa mapenzi Yamezidi natamani nimkimbie maana hana kazi anasubir nirudi kazini mda wote tuwe wote sex akitaka ni muda huohuo hamna kusubiri daah ,Ssijutii maana nilishindwa move on ila ikizidi inabidi niende hata likizo kwanza nyumbani
Mapenz ya dawa hayafai 😄😄 kula chumaNilikua namahusiano na mwanamke ila tulikuja kugombana bila sababu akaanza kunichukia,nilipata tabu sana kile kipindi nikajaribu kuwafuata wana jf wachavhe humu jf wanisaidie hata mawazo ,mmoja akakubali kuniumgajisha na mtu wake yupo huko songea sijui mbinga ,baada ya siku nne akaanza kunitafuta yeye ananilalamikia simtaki, Sasa mapenzi Yamezidi natamani nimkimbie maana hana kazi anasubir nirudi kazini mda wote tuwe wote sex akitaka ni muda huohuo hamna kusubiri daah ,Ssijutii maana nilishindwa move on ila ikizidi inabidi niende hata likizo kwanza nyumbani
"...... ikizidi inabidi niende hata likizo kwanza nyumbani"Okay, naomba mamba ya uyo mtaalamu kutoka Mbinga.