Nataka kujua tu!

madia madia

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2017
Posts
717
Reaction score
703
Ni kitu gani mschana unawaza pale mwanaume:
1. anapokusalimia
2. Anapokuongelesha
3. Anapokuangalia

Lakini pia huwa inaashiria nini mwanamke/mschana ambaye mnajuana tu au ni marafiki tu wa kawaida anapokujulia hali Mara kwa Mara, anapokupigia kukusalimia Mara kwa Mara, anapokusifia Mara kwa Mara. Na mengine ya hayo.

Nimekumbuka ile story ya mdau humu ya kuwa na rafiki halafu wanapendana Lakini wanaogopa kuambiana. Mpka mschana akaolewa hadi akafa ndo jamaa anastuka kumbe alikua anapendwa. Wadada hebu tusaidieni maana naona tupo wengi.
 
Dogo hizo ni fairy tale, za snow white and the seven dwarfs, wake up, naona unaishi kwenye ndoto, unamtaka demu mwambie, kwenye uzia penyeza rupia, this is how we do son, been there done that.
 
Sasa tutawaza mangapi kwa wangapi sababu kwa mwanamke aliyekamilika haipiti siku hayo hajakumbana nayo.

Mie najionea kawaida tu hata huwa siumizi kichwa changu kuwaza na kuwazua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…