Wadau naombeni kujua bei ya kiwanja chenye ukubwa wa robo heka maeneo ya Chanika.Je,naweza kupata kwa shilingi ngapi?Nisaidieni wadau wenye kujua.
Muone MC Anton ndiye anauza Viwanja huko Chanika na hivi karibuni ametoa tanzazo humu anauza kwa 1.5 M
1.5M chanika huwezi pata kiwanja,kwa hiyo bei nenda kisarawe huko!
Ndugu,
Usiwe mwepesi Wa kufikia conclusion bila kudadisi kwanza ndio maana nikamwambia amuulize McAnton huwa anavitangaza hapa kwa hiyo hiyo 1.5 M miguu 20×20
Jisomee thread hii www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/822274-viwanja-vya-bei-rahisi-dar-es-salaam.html#post12233484
Nimekupata kaka...!Ndugu,

Nimekupata kaka...!