Nataka kujifunza IT

Samandarojk

Member
Joined
Sep 25, 2016
Posts
55
Reaction score
24
Natafuta mtu mwenye ujuzi wa it anifundishe, kwani toka kitambo ninahitaji kujua jambo hilo.
Sio kujifunza kwa kwenda chuo bali kwa mtu binafsi
 
IT ni pana sana, ni bora ukatoa maelezo unataka kufundishwa eneo lipi.
Haya ni baadhi tu ya Maeneo
1 . Programming
2. Networking
3. Computer Maintenance and repair
4. Web Development and Graphics design
5. IT security
6. IT Auditing
7. Databases
8. Cloud Computing and Virtualization
9. Artificial Intelligence
10. Basic Computer Applications ( e.g Microsoft Office)
 
1.programming
4.web development and graphics
5. It security
9. Artificial intelligence.
Lakin hizo mbili za kwako ndizo ninazohitaji sana kuzijua kwa sasa
 
Umenipata?
 
Yes nimekupata mkuu, naamini watakuja wataalmu wazuri tu kukupa maelezo ya kina kwenye hayo maeneo. Be blessed katika safari yako
 
Iko pale mwenge kama unaelekea ununio njia ya kwenda posta. . Ukivuka barabara upande wa kushoto Kuna maisha club nyuma yake uwanja wa Taifa.... ulizia tandale basi umefika
wee jamaa mungu anakuona hak vile
 
katika IT unataka kujua kitu gani hasa? maelezo yako general sana ni sawa useme mimi nataka kuwa rais watu watakuuliza rais wa nchi, WCB, yanga au simba?
Jikite kwenye sehemu ambayo unataka kusoma ili watu watoe michango yao.
 
1.programming
4.web development and graphics
5. It security
9. Artificial intelligence.
Lakin hizo mbili za kwako ndizo ninazohitaji sana kuzijua kwa sasa
Programming inagawanyika, lakini kwa mujibu wa kozi ambazo umeziweka hapo c++ inafaa kuanza nayo then java kwa ajili android apps development. Maslahi yako ww yakoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…