amoc thedon
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 358
- 561
Nilivyoanza kusoma hii comment nilijua unamdhihaki ila dah kweli town hapa mipango tuu.. 🙌kuosha magari posta.
kuosha magari Posta, gari moja ni Tshs 5000 , kwa siki unaosha 10 kwa wastani utapata 1.5 milioni kwa mwezi ambayo haikatwi kodi wala haina TOZO za MWIGULU wa SINGIDA ALL STARS.
Utapata hela nyingi kuliko bank Telleer wa CRDB
Nyie motivation speakers huwa mnaongea tu.nani akupe elfu 5 kwa siku kwa kuosha magari tu?kwanza hayo magari 10 unayosema ya kuosha unayapata wapi kila siku?kuosha magari posta.
kuosha magari Posta, gari moja ni Tshs 5000 , kwa siki unaosha 10 kwa wastani utapata 1.5 milioni kwa mwezi ambayo haikatwi kodi wala haina TOZO za MWIGULU wa SINGIDA ALL STARS.
Utapata hela nyingi kuliko bank Telleer wa CRDB
Course za afya wanaweza kubali pasipo chemistry?Angalia kozi za afya kama inawezekana.
Nashukuru ndugu, sina chanzo chochote cha uchumi lakini nikitaka nibadili fani nikiwa bado mwalimuNakushauri usiache kwanza ualimu. Kama una chanzo cha uchumi kilichosimama naweza kukubaliana na wazo lako la kuacha Ualimu, sasa hivi tatizo la ajira ni kubwa zaidi ya tunavyolizungumza.
Duh..ahsante [emoji1374] ndugukuosha magari posta.
kuosha magari Posta, gari moja ni Tshs 5000 , kwa siki unaosha 10 kwa wastani utapata 1.5 milioni kwa mwezi ambayo haikatwi kodi wala haina TOZO za MWIGULU wa SINGIDA ALL STARS.
Utapata hela nyingi kuliko bank Telleer wa CRDB
Mkuu sijasoma chemistry advance naweza pata ? Maana Mimi cheti nilicho nacho ni hiko cha diploma ya physics na biologynenda afya ila kila sehemu ina changamoto zake
Advance umesoma kombi gani na je matokeo yakojeMkuu sijasoma chemistry advance naweza pata ? Maana Mimi cheti nilicho nacho ni hiko cha diploma ya physics na biology
Mkuu usipende kuwa negative, utanisamehe kama ntakukera.. ila yuko sahihi eneo lolote mjini mfano Posta, Mnazi, Livingstone, Mwenge (Mlimani kwa madalali), na kwingine kwenye parking hukosi waosha magari.. Nna miezi sijaosha gari town bei ilikuwa 3000 labda itakuwa imepanda, kulifuta tu vumbi gari 1500 mpaka 2000.Nyie motivation speakers huwa mnaongea tu.nani akupe elfu 5 kwa siku kwa kuosha magari tu?kwanza hayo magari 10 unayosema ya kuosha unayapata wapi kila siku?
Late 2009 kuna Mwl mmoja alifanya uamuzi kama huu unaoutaka wewe, yeye alisoma kozi fupi ya Ualimu wa Sekondari mwaka 2006 kipindi Shule za kata zimeanzishwa. Sasa alimua kwenda kusoma Degree ila aliamua kubadili kozi ya kwenda kusoma chuo, alichagua Accountancy na alifanikiwa kudahiliwa UDOM.Nashukuru ndugu, sina chanzo chochote cha uchumi lakini nikitaka nibadili fani nikiwa bado mwalimu
Maneno makavu kabisa haya bila kumuwazia mtaji atapata wapiKasome BSc Accounting or Finace then ukiwa college anza kufanya mitihani ya CPA, ukimaliza au kabla hujamaliza anzisha kampuni yako ya accounting & Tax services then work very hard na uwe mwaminifu
Angalia kozi za afya kama inawezekanaCourse za afya wanaweza kubali pasipo chemistry?
Advance umesoma kombi gani na je matokeo yakojeMkuu sijasoma chemistry advance naweza pata ? Maana Mimi cheti nilicho nacho ni hiko cha diploma ya physics na biology
Karibia kila kazi ya kuajiriwa usitegemee kufurahiaHakuna kazi yeyote ya kuajiriwa utakayofurahia,ukifurahia maisha kwa kuajiriwa kada yeyote tena serikalini niite MBWA nimekaa paleeee.