Nataka kuachana na mapenzi nifanye mambo mengine

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,367
Reaction score
11,604
Inasikitisha sana,

Unaamua kujitolea kuwa na single maza tena aina ya thate plus (30+) kwa kujua kuwa amepitia ujana vya kutosha na tayari kashajifunza! Umri ni namba tu, kakupiga gap la miaka 6, ni sawa, lakini kikubwa si unahudumia?

Sawa umemkuta kapanga, vyombo vyake, kitanda chake, na kila kitu chake, umeendeleza tu jukumu la kulipa kodi! Unatoka zako kazini jioni ukiwa umechoka anakwambia umsaidie mikazi ya nyumbani kama kudeki ndani, kuosha vyombo na kuteka maji! Kupika n.k Hiyo ni haki kweli? Anakuona kama vile mdogo wake!

Labda issue ni kwenye kumkaza, la hasha! Unaichakata mbususu yake kwa hasira kali mpaka chumba kinanukia kuungua! Mkuyenge mkubwa tu, la kutosha! Unakesha usiku unamliza ukiamini kuwa kuanzia kesho atakupatia heshima stahiki! Lakini wapi, Mwendo mdundo, mtindo mmoja!

Kwa majirani utasikia anawaambia, "mdogo wangu kashafika, yuko ndani"

Sasa tuwaelewe vipi? Visichana vitusumbue akili, thate plus mtusumbue! Wake za watu, tutishiwe kutatuliwa marinda!

Bora nifanye mambo mengine...
 
Ndugu seems mapenzi yanakupeleka speed sana,,,,ila wewe unaona kama upo sawa BUT the truth haupo sawa...

Uamuzi wa kuachana nayo ni Mzuri sana,,,,,Japo umechelewa sana kuamua hilo.

Be a Man, Stay Taliban.
 
Anakuchukulia kama mwanae ndo maan anakutuma kichota maji😁😁😁
 
Ukionaaa mtu mzimaa mama (ka sauti ka gitaa) analia mbele za watu ujuwee Kuna jambooo
 
Tayari ushalizwa
Mimi nilipigwa nusu moyo ugande
Nikautoa nikapichika wa chuma original bado unaota jua upate vitamin

Ni hit and run kuna wanamke huwa nakuwa nao wanasema wananipenda lakini mimi naona utapeli tu
 
Toa hela sana kufunika mapungufu yote..yani hudumia 100%

Afu toa amri sana hapo home
Yani ishi kibabe sana..
na kofi japo moja kwa mwezi
Urudi useme

Unaosha vyombo unashindwa kumlipa housegirl?.

Haiwezekani hela unatoa ya kupima afu heshima upewe imejaa..
itoke wapi??

Hakuna mwanamke jeuri kwa bwana anayehudumia kila kitu...mwenye pesa ana sauti
Jitathmini
 
Yamekukuta yap tena nduguyangu
Siulikuwa na yule anekupenda Sana na alisema hana haja ya chakula hata mkilala njaa atashiba upendo wako [emoji23][emoji23]
Kwaiyo ukaamua umuache na kumfata single maza atakuuwa huyo
Wew kaendelee na yule anaekupenda wa xaxexixoxu
 
Hapo kwenye kufanyishwa kazi aseee umenitia aibu kaka mimi siwezi kuosha vyombo na mwanamke yupo ndani asee au niiname kudeki yeye anaangalia aseee sasa nini maana ya kuwa naye ndani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…