dabluz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2013 Posts 2,455 Reaction score 1,676 Aug 22, 2015 #1 Nina 3.5M nataka Gari, starlet au corolla. Namba C,au B
G Gabriela Member Joined Dec 26, 2011 Posts 57 Reaction score 15 Aug 22, 2015 #2 Mkuuu tembelea kupatana.com ila sasa ongeza mpunga walau ufike 5M hope utapata kagari safiiii
Kurutamjanja JF-Expert Member Joined Nov 21, 2013 Posts 396 Reaction score 377 Aug 22, 2015 #3 Ninalo mm lakini halina Engine.
G GeeM JF-Expert Member Joined Apr 11, 2014 Posts 1,897 Reaction score 1,328 Aug 22, 2015 #4 Duh kwa kiwango hicho cha pesa ni ngumu sana kufanikiwa, na ukifanikiwa basi utatumia gharama kubwa za matengenezo. Utanunua kwa gharama ya juu 'indirectly'
Duh kwa kiwango hicho cha pesa ni ngumu sana kufanikiwa, na ukifanikiwa basi utatumia gharama kubwa za matengenezo. Utanunua kwa gharama ya juu 'indirectly'