B Bible Senior Member Joined Sep 13, 2013 Posts 136 Reaction score 8 Apr 5, 2015 #1 Nina 3mil nataka Toyota passo nipo Mwanza.0714620133
MoPlan JF-Expert Member Joined Dec 31, 2011 Posts 907 Reaction score 661 Apr 5, 2015 #2 Mh.. ngoja waje tuone
B Bible Senior Member Joined Sep 13, 2013 Posts 136 Reaction score 8 Apr 5, 2015 Thread starter #3 watakuja tu watu wanagari nyingi sana kutupa moja kitu cha kawaida sana
D dagii JF-Expert Member Joined Dec 23, 2013 Posts 4,959 Reaction score 3,777 Apr 5, 2015 #4 Bible said: Nina 3mil nataka Toyota passo nipo Mwanza.0714620133 Click to expand... Njoo kiloleli hapa kontena uone mzigo ila kwahiyo bei nenda tu kwenye screpa labda utabahatika
Bible said: Nina 3mil nataka Toyota passo nipo Mwanza.0714620133 Click to expand... Njoo kiloleli hapa kontena uone mzigo ila kwahiyo bei nenda tu kwenye screpa labda utabahatika
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Apr 5, 2015 #5 Mmmh, hiyo bei...!!!!
O Old Member (Retired) JF-Expert Member Joined Sep 29, 2012 Posts 3,401 Reaction score 1,618 Apr 5, 2015 #6 Unataka ya kupelekea watoto shule???
B beggoten Member Joined Dec 3, 2014 Posts 64 Reaction score 7 Apr 5, 2015 #7 weka nne na nusu nikupe mashine
B Bible Senior Member Joined Sep 13, 2013 Posts 136 Reaction score 8 Apr 5, 2015 Thread starter #8 beggoten said: weka nne na nusu nikupe mashine Click to expand... Upo mbali san mkuu punguz niuchukue mzigo,nipe specification zake
beggoten said: weka nne na nusu nikupe mashine Click to expand... Upo mbali san mkuu punguz niuchukue mzigo,nipe specification zake
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 93,991 Reaction score 132,359 Apr 5, 2015 #10 Duh hatari 3mln
A Akiri JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,445 Reaction score 216 Apr 6, 2015 #11 Bible said: Nina 3mil nataka Toyota passo nipo Mwanza.0714620133 Click to expand... jaribuni kuwa serious wengine tupo kazini nyie mnakuja kucheza humu. abo?
Bible said: Nina 3mil nataka Toyota passo nipo Mwanza.0714620133 Click to expand... jaribuni kuwa serious wengine tupo kazini nyie mnakuja kucheza humu. abo?
Bwii89 JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 1,001 Reaction score 1,025 Apr 6, 2015 #12 Akiri said: jaribuni kuwa serious wengine tupo kazini nyie mnakuja kucheza humu. abo? Click to expand... tatizo wabongo wanaona gari ni ishu sana,ucjali kwa m.3 utapata tu
Akiri said: jaribuni kuwa serious wengine tupo kazini nyie mnakuja kucheza humu. abo? Click to expand... tatizo wabongo wanaona gari ni ishu sana,ucjali kwa m.3 utapata tu
muuza ugoro JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 334 Reaction score 61 Apr 7, 2015 #13 Passo kwa 3 M mkuu, utauziwa kibovu au kilichobizwa. Good things cost. Weka pesa kwa Fixed deposit jichange ikifika 6 M unapata gari zuri sana
Passo kwa 3 M mkuu, utauziwa kibovu au kilichobizwa. Good things cost. Weka pesa kwa Fixed deposit jichange ikifika 6 M unapata gari zuri sana
K king of zemunda2 Member Joined Nov 2, 2014 Posts 95 Reaction score 39 Apr 7, 2015 #14 Ukitaka kununua gari tafuta iliyo na hali nzri na siyo vigari vibovu vitakusumbua uone dunia chungu.mtafute yule wa 4.5 anaweza akakupa gari nzri
Ukitaka kununua gari tafuta iliyo na hali nzri na siyo vigari vibovu vitakusumbua uone dunia chungu.mtafute yule wa 4.5 anaweza akakupa gari nzri
B Bible Senior Member Joined Sep 13, 2013 Posts 136 Reaction score 8 Apr 7, 2015 Thread starter #15 Pesa itaisha jamani Balim zinanitamanisha sana,mwenye Gari naomba ajitokeze.
SERGIO JF-Expert Member Joined Dec 13, 2012 Posts 348 Reaction score 145 Apr 7, 2015 #16 Huwezi kupata Passo kwa bei hiyo. Bei yake inaanzia 6m/-.
R rock city bway Member Joined Apr 2, 2015 Posts 19 Reaction score 0 Apr 8, 2015 #17 Bible said: Nina 3mil nataka Toyota passo nipo Mwanza.0714620133 Click to expand... Kuna starlet utapata mkuu ila utaongeza pesa ipo mwanza nichek 0712718972
Bible said: Nina 3mil nataka Toyota passo nipo Mwanza.0714620133 Click to expand... Kuna starlet utapata mkuu ila utaongeza pesa ipo mwanza nichek 0712718972
B Bible Senior Member Joined Sep 13, 2013 Posts 136 Reaction score 8 Apr 8, 2015 Thread starter #18 rock city bway said: Kuna starlet utapata mkuu ila utaongeza pesa ipo mwanza nichek 0712718972 Click to expand... kaka mwenyew Nina starlet nataka nibadili aina ya gari
rock city bway said: Kuna starlet utapata mkuu ila utaongeza pesa ipo mwanza nichek 0712718972 Click to expand... kaka mwenyew Nina starlet nataka nibadili aina ya gari
kunguni wa ulaya JF-Expert Member Joined Mar 16, 2014 Posts 4,131 Reaction score 6,125 Apr 8, 2015 #19 Bible said: Nina 3mil nataka Toyota passo nipo Mwanza.0714620133 Click to expand... Mkuu kwa 3m unataka isiyotembea? Ninayo namba CV mwisho Fanya 5.5M haina tatizo lolote.
Bible said: Nina 3mil nataka Toyota passo nipo Mwanza.0714620133 Click to expand... Mkuu kwa 3m unataka isiyotembea? Ninayo namba CV mwisho Fanya 5.5M haina tatizo lolote.
B Bible Senior Member Joined Sep 13, 2013 Posts 136 Reaction score 8 Apr 9, 2015 Thread starter #20 kunguni wa ulaya said: Mkuu kwa 3m unataka isiyotembea? Ninayo namba CV mwisho Fanya 5.5M haina tatizo lolote. Click to expand... kuna 3mil tu.
kunguni wa ulaya said: Mkuu kwa 3m unataka isiyotembea? Ninayo namba CV mwisho Fanya 5.5M haina tatizo lolote. Click to expand... kuna 3mil tu.