Nataka bajaji

m bena

Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
18
Reaction score
1
mwenye bajaji anaeuza tuwasiliane kwa namba hii0783907323
 
Mi ninayo ya mwaka 2011 usajili utanipm tuongee biashara.
 
NATAKA! Yaani hiyo ndiyo lugha ya biashara haswaaaa, ina maana uko na nguvu ya fedha. WANT VS NEED! Bahati mbaya sina bajaji, ila nakushauri uwavizie wale wanaobahatika na tiGO kwa kuwa sio wote wanazihitaji.
 
Ninayo Bajaj na ina tatizo la kioo mana kilivunjika ila kila kitu kipo fresh.Kama uko tayari niPM
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…