Nataka semetrela scania 113 horse power 320 elio kwenye hali nzuri tairi safi rangi na engine bomba scania na trela yake trela yake bei iwe reasonable sms 0787139327
mkuu trailer zipo nje, ni siku 30 kama muhitaji inakuwa bongo, bei ni 18 kama muhitaji ni pm. horse naweza kukupatia ya LHD kama muhitaji itakuwa na HP 360 ama 380.