StBico Member Joined May 17, 2015 Posts 15 Reaction score 2 May 23, 2015 #1 Hello wapendwa, Natafuta rafiki wa kike mwenye upeo wa kimaendeleo awe na age kati ya miaka 20-25, aliye tayari anifollow in box ili Tuwasiliane.Thanx to you all
Hello wapendwa, Natafuta rafiki wa kike mwenye upeo wa kimaendeleo awe na age kati ya miaka 20-25, aliye tayari anifollow in box ili Tuwasiliane.Thanx to you all
Queen Rover Member Joined Apr 29, 2015 Posts 88 Reaction score 79 May 23, 2015 #2 StBico Una umri gan? Unaishi wapi? Unajishugulisha na nini? Je wewe mwenyewe upeo wako wa kutengeneza hesabu nzuri upo?!. Na kwanini wa kike? Au kuna la zaidi? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
StBico Una umri gan? Unaishi wapi? Unajishugulisha na nini? Je wewe mwenyewe upeo wako wa kutengeneza hesabu nzuri upo?!. Na kwanini wa kike? Au kuna la zaidi?
maringeni JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 3,197 Reaction score 3,901 May 23, 2015 #3 Rafiki tu. Mbona una dada zako wa ukoo na majirani. Ya nini mpaka uje huku?
Mzee_2015 JF-Expert Member Joined May 19, 2015 Posts 255 Reaction score 58 May 23, 2015 #4 Nakutakia safari njema.Mungu atakupa kila unalolitaka hata Jambazi utampata