Natafuta wimbo wa Msondo

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Posts
1,802
Reaction score
283
Wadau natafuta wimbo wa Msondo ngoma "Make wangu tuelewane" umetungwa na Suleiman Mwannyiro 1997, (Nikuulizapo jambo huja juu, huja juu, kipenzi changu ........) mwenye kufahamu unapatikana link gani, Masada please!
 
AISEE NAUTAFUTA HADI LEO KAMA KUNA MTU KAUPATA HUU "NIKUULIZAP JAMBO HUJA JUU"
 
umetungwa na Suleiman Mwannyiro 1997, (Nikuulizapo jambo huja juu, huja juu, kipenzi changu ........) mwenye kufahamu unapatikana link gani, Masada please!
Suleiman Mwanyiro alifariki lini? siyo 1990 kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…