Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 26,529 Reaction score 61,939 Apr 19, 2018 #1 Ni wimbo wa kwaya japo sijui uliimbwa na nani ila unaitwa " Ninavumilia tu " wa RC Mwenye nao naomba aniwekee hapa jukwaani
Ni wimbo wa kwaya japo sijui uliimbwa na nani ila unaitwa " Ninavumilia tu " wa RC Mwenye nao naomba aniwekee hapa jukwaani
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,261 Reaction score 72,421 Apr 20, 2018 #2 UMEIMBWA NA KWAYA YA MTAKATIFU CECILIA ARUSHA (KAMA SIJAKOSEA)