Nakupa njia rahisi kama utaweza
chukua aina ya mifuko unayotaka kutumia na inapatikana maduka mengi tu kariakoo ambayo ni plain(aina maandishi)kisha tafuta mtu akutengenezee nembo yako unayo taka iwe kwenye mifuko iyo nenda nayo sehemu wanazo print tishert watakutengenezea kitu kinaitwa screen nunua na rangi kwao ya ku printia baada ya hapo utakuwa una gonga nembo kwenye mifuko yako kama unavyo piga mihuri tu kwenye karatasi kwa kutumia hiyo screen