Z Zamazamani JF-Expert Member Joined Jun 13, 2008 Posts 1,903 Reaction score 831 Aug 27, 2015 #1 Wadau, Nina idadi kubwa ya scrapped /shredded truck tyres nahitaji wateja .Ninaweza kusupply zaidi ya tani 3 kila mwezi.Mwenye ufahamu wa soko husika au biashara hii inakwendaje naomba tuwasiliane. Natanguliza shukrani
Wadau, Nina idadi kubwa ya scrapped /shredded truck tyres nahitaji wateja .Ninaweza kusupply zaidi ya tani 3 kila mwezi.Mwenye ufahamu wa soko husika au biashara hii inakwendaje naomba tuwasiliane. Natanguliza shukrani