Habari mkuu,
Nakushauri endelea kuzalisha/ kukusanya hiyo mbolea ya kuku; kadri inavyokaa inakuwa bora zaidi. Hii itakuwa fursa kwako baadae Kwa wawekezaji wakubwa itakapohitajika Kwa wingi.
Lakini pia, kwa sasa akija jirani yako, akakuomba mbolea, mwambie niletee pumba ili kuku chakula chao kitokane na mbolea na mradi wako kujiendesha wenyewe; kwa wale wanahitaji debe la mbolea na hawana pumba/chakula cha kuku chukua pesa Kwa ajili ya Dr wa mifugo na matumizi mengine.
Sent using
Jamii Forums mobile app