ugali dagaa
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,284
- 1,128
mtaalam wa kupauwa au kupanua, mbona heading ina tatiza?
Pole mkuu yupo mmoja Mkoani Njombe utakuwa tayari kumlipa gharama za kuja mjini nikupe namba yake
hapana aise
heshima yenu wakuu nimefanikiwa kupata vijinoti nikaona bora na mie nitafute banda la kujificha pamoja na wanaonizunguka,, hela yenyewe ya kuunga unga aise nilinunua bati za msauzi nikampa fundi kumbe hakuwa na utaalamu nazo hivyo akaniharibia kanitia hasara kama, kuna mtu anamjua mtaalamu wa kupauwa bati la msauz ani pm asiwe wale wa bei za contractors kwani najenga kwenye squatters angalia kiambatanisho

kwani wewe hujaoa?
MashAllah. Hongera kwa hapo ulipofika mkuu
Aaah, nilikuja fasta hadi nikadhani ni mada ya MMU na kuna mtu anatundu dogo anahitaji kupanuliwa. Kumbe ni kupaua nyumba???? Andika vizuri heading ndugu yangu
mkuu wewe unaweza kupanua matundu?