Ina maana kwa bajeti hio mlimani city,mayfair,msasani mall hupati viatu?hamjambo wakuu, bila kupoteza muda nahitaji kujua wapi nitapata duka linalouza hizi Staff Moka za kisasa nilizoambatanisha picha zake hapo chini.
Zingatie bei iwe nafuu na sio bei zile za Mlimani City, Mayfair, au Msasani mall.
Kama kuna mtu anauza kwa bei nafuu anifate INBOX sasa hivi. Budget yangu inacheza kwenye Tsh150k - 200k.
Huyu jamaa ana kiwanda? Anaagiza China au?nenda kwa IDRIS SULTAN
anaagizaHuyu jamaa ana kiwanda? Anaagiza China au?
Ok kwahio ana duka kama wenzie wa kariakoo?anaagiza
wewe ulinunua wapi zile moka zako?Ina maana kwa bajeti hio mlimani city,mayfair,msasani mall hupati viatu?
Debenhams,Next au TKMaxx.wewe ulinunua wapi zile moka zako?
Kwenye kugegedana huko huwa mnachunguzana hadi mwenzio kavaa nini??![emoji15] [emoji15] [emoji15]wewe ulinunua wapi zile moka zako?
Hiyo signature yako... Max yuko lupango kwani?nenda kwa IDRIS SULTAN
Hujui kiatu kinatoa ujumbe?!!Kwenye kugegedana huko huwa mnachunguzana hadi mwenzio kavaa nini??![emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kwa hiyo kiatu kinakaguliwa kabla au baada ya kugegedana?Hujui kiatu kinatoa ujumbe?!!
Kabla hujaongea kiatu kishakaguliwa...Kwa hiyo kiatu kinakaguliwa kabla au baada ya kugegedana?
Yule mchuchu naona karudi...ngoja nianze mashambulizi!Kwa hiyo kiatu kinakaguliwa kabla au baada ya kugegedana?
Yupi huyo?Paprika??[emoji32][emoji32][emoji32]Yule mchuchu naona karudi...ngoja nianze mashambulizi!
Basi weekend hii naenda kwa Miss Natafuta na buti!Kabla hujaongea kiatu kishakaguliwa...