Mpapatu JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 221 Reaction score 121 Jul 1, 2014 #1 Habari za mida hii ndugu zangu, nilikuwa ninashida ya kuuliza nitapata wapi wallet za kuhifadhi laptop kama zile zinazokuwepo ndani ya mabegi ya laptop? Na je ni Bei Gani?, ahsanteni.
Habari za mida hii ndugu zangu, nilikuwa ninashida ya kuuliza nitapata wapi wallet za kuhifadhi laptop kama zile zinazokuwepo ndani ya mabegi ya laptop? Na je ni Bei Gani?, ahsanteni.