Natafuta wafanya biashara wa samaki.

Natafuta wafanya biashara wa samaki.

Polmo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2017
Posts
244
Reaction score
185
Kama ujumbe unavyojieleza hapo juu nataka kufanya nao biashara. Kwa wale wanaoifahamu biashara hiyo
 
Naweza kukuelekeza biashara ya dagaa. Lakini shida kubwa sana ni UAMINIFU kwenye hii biashara kupigwa ni nje nje.
 
tatizo haelezi yuko wapi ili hata kumsaidia asaidiwe kwa eneo la karibu naye
 
Back
Top Bottom