stevoh JF-Expert Member Dec 5, 2011 2,921 1,104 Jul 5, 2013 #1 Isiwe mbali sana na mji. Tafadhali kama unaweza nipe specification pamoja na bei zake. Asante.
stevoh JF-Expert Member Dec 5, 2011 2,921 1,104 Jul 5, 2013 Thread starter #4 DK The Farmer said: Unahitaji kwa ajili ya kilimo? Click to expand... yap na makazi pia...
Zemu JF-Expert Member Jun 5, 2008 518 80 Jul 5, 2013 #6 Kasanga si mbali na town, tatizo havijapimwa ila viwanja/shamba na vinaanzia m3.5 na maeneo mazuri sana, ishu ya maji na umeme bado kidogo ila vegetation yake iko poa.
Kasanga si mbali na town, tatizo havijapimwa ila viwanja/shamba na vinaanzia m3.5 na maeneo mazuri sana, ishu ya maji na umeme bado kidogo ila vegetation yake iko poa.
stevoh JF-Expert Member Dec 5, 2011 2,921 1,104 Jul 5, 2013 Thread starter #7 Owkey twende nje kidogo ya mji...