Natafuta viwanja au mashamba Morogoro..

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
Isiwe mbali sana na mji.
Tafadhali kama unaweza nipe specification pamoja na bei zake.
Asante.
 
Kasanga si mbali na town, tatizo havijapimwa ila viwanja/shamba na vinaanzia m3.5 na maeneo mazuri sana, ishu ya maji na umeme bado kidogo ila vegetation yake iko poa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom