Natafuta vitz ya kununua ya mil kati ya mil 3

Ongeza m2 upate namba D kwa hiyo hela utapata namba A na B
 
Kwa m 3 utapata tu inayofanana na pesa Yako usikatishwe tamaa. Gari yoyote hupanda thamani kulingana na ubora/mafunzo. zipo vits kali zilizosimamia kucha huing'oi chini ya 9m.
 
Usije kujichanganya ukachukua makina alteza na verosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…