Habari za muda huu members , mimi nahitaji kujuzwa aina mbili za video call app bora na zenye picha bora anijuze. Nimeshawahi kukutumia baadhi ya video call app lakini zina matatizo yake, hazina ubora kufikia IMO, sema IMO siku hizi haipatikani hata nje ya nchi , maana yake uwezi kuongea kwa video na mtu aliye nchi za nje.
Mwenye kujua app bora ya mfano wa IMO jamani anijuze.