Natafuta TV Showcase

robson kiria

Member
Joined
Apr 11, 2014
Posts
74
Reaction score
108
Habari za majukumu wadau.

Nahtaji TV Showcase iliyo katika kiwango kizuri, iwe ya mbao na bajeti yangu ni Tsh. 90k.

Ipo mfuko wa shati hapa kama ipo nichek kwa namba hii 0768069716 chap!
 
hiyo namba ni kwa ajili ya picha tuuuu wtp


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mkuu, kwa hiyo bei sidhani kama utapata, hizo meza ni bei sana, mitandaoni naona huwa wanaanzia laki 2 afu ni Dar
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…